Aron Amos Maro

Aron Amos Maro

Posted 1 year ago by Peter Joseph Makoye

“Mimi ni mteja wenu wa muda mrefu ambae niliwahi kusaidiwa kipindi cha nyuma, nimerudi kwaajili ya kukazia hukumu ya baraza ambayo mlinisadia ambapo ilikatiwa rufaa kwenda mahakama kuu, na rufaa ilipo fika mahakama kuu ilitupiliwa mbali. Asanteni sana”.