Hellen Abdo Mmbando

Hellen Abdo Mmbando

Posted 2 years ago by Peter Joseph Makoye

“Kwakweli huu msaada atusatihili kuupata bure, pale tunapohisi atunasababu ya kuendelea mnatuonyesha mwanga na Imani ya kupambana na matatizo yetu na mwisho wa siku tunashinda na kupata haki zetu. Mwanasheria wangu Tumaini naomba Mungu akawabariki kwa kazi mnayoifanya kwa kujitolea kwaajili ya sisi watu wa kipato cha chini na tusiojua sheria wala haki zetu!”