Nasra Abdallah Juma
“Nafurahi kuwa sehemu ya watu wanao hudumiwa na kituo kwani nimeshinda kesi yangu ya talaka na nimeridhika na maamuzi. Nilijua nitashindwa kwasababu sina pesa lakini umaridadi wa wanasheria wakituo katika uandishi umenisaidia na nawashukuru sana”